Nenda kwa yaliyomo

Margarito Flores

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi.

Margarito Flores (jina kamili kwa Kihispania Margarito Flores García; Taxco de Alarcón, Guerrero, Mexico, 22 Februari 1899 - Tulimán, 12 Novemba 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa kwa risasi nyingi bila kesi wakati wa dhuluma kubwa iliyoendana na Vita vya Wakristero[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.santiebeati.it/dettaglio/90121
  2. "List of San Cristobal and companions, St. Cristobal Magallanes and Companions Church, Mission, Texas". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-24. Iliwekwa mnamo 2020-04-13.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.