Daniel Nathans

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daniel Nathans (30 Oktoba 192816 Novemba 1999) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kuchunguza mfumo wa kijenetiki wa virusi mbalimbali. Mwaka wa 1978, pamoja na Werner Arber na Hamilton Smith alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Nathans kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.