José Saramago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jose Saramago)
José Saramago Januari 2008

José Saramago (16 Novemba 1922 - 18 Juni 2010) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ureno. Baadhi ya maandiko mengine aliandika hasa riwaya. Mwaka wa 1998 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José Saramago kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.