Chinua Achebe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Chinua Achebe.

Chinua Achebe (amezaliwa 16 Novemba 1930) ni mwandishi kutoka nchi ya Nigeria. Ameandika vitabu vingi vyenye riwaya, mashairi na insha. Hadithi zake zinatumia mitindo ya fasihi simulizi ya lugha yake ya asili, Kiigbo. Hata hivyo ameandika hasa kwa Kiingereza. Baadhi ya maandiko yake ni:

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chinua Achebe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.