Konrad Lorenz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Konrad Lorenz
Tuzo Nobel.png

Konrad Lorenz (7 Novemba 190327 Februari 1989) alikuwa mwanazuolojia kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza tabia za wanyama mbalimbali. Mwaka wa 1973, pamoja na Karl von Frisch na Nikolaas Tinbergen alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konrad Lorenz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.