John Patrick (mwandishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Patrick (17 Mei 19057 Novemba 1995) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1954, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Teahouse of the August Moon.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Patrick (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.