Chandrasekhara Raman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chandrasekhara Raman

Chandrasekhara Venkata Raman (7 Novemba 188821 Novemba 1970) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uhindi. Hasa alichunguza mambo ya mwanga na jinsi unavyosambazwa kupitia vitu mbalimbali. Mwaka wa 1930 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chandrasekhara Raman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.