Mwanga
Mwanga inaweza kumaanisha
- neno lingine kwa nuru
- jina la mahali kama vile
- Wilaya ya Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro
- Mwanga (mji), makao makuu ya Wilaya ya Mwanga, Tanzania
- Mwanga (Iramba) - kata ya wilaya ya Iramba, Tanzania
- Mtu anayefanya vitendo viovu kwa nguvu za kichawi katika mazingira ya kutoonekana kwa macho ya kawaida ya watu wengine. Kadiri ya imani hiyo mara nyingi mwanga huingia ndani ya nyumba ya mtu pasi na kufungua mlango wala dirisha na kufanya kitu anachohitaji kwa mtu yeyote ndani ya nyumba hiyo pasi na kuonekana wala kujulikana kama yumo ndani ya nyumba hiyo na nini anafanya.