Mwanga (mji)
Jiji ya Mwanga | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kilimanjaro |
Wilaya | Mwanga |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 15,738 |
Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama hapa
Mwanga ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,783 [1] walioishi humo.
Mwanga uko kwenye barabara kuu takriban kati ya Moshi na Same mguuni pa milima ya Pare Kaskazini.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Mwanga DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-27.
- Taarifa juu ya "Declining coffee economy and low population growth in Mwanga district, Tanzania" Archived 4 Machi 2016 at the Wayback Machine.
![]() |
Kata za Wilaya ya Mwanga - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Chomvu | Jipe | Kifula | Kighare | Kigonigoni | Kileo | Kilomeni | Kirongwe | Kirya | Kivisini | Kwakoa | Lang'ata | Lembeni | Mgagao | Msangeni | Mwanga | Mwaniko | Ngujini | Shighatini | Toloha |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mwanga (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|