Mwaniko (Mwanga)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwaniko ni kata ya Wilaya ya Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,741 [1] walioishi humo.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kata ya Mwaniko inaundwa na vijiji vitano ambavyo ni Mangio, Mriti, Mwaniko, Ngofi na Vuchama.

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Kata ya Mwaniko ina shule nne: mbili ni za binafsi, ambazo ni Mangio na Vuchama Islamic, na mbili za Serikali, ambazo ni Chaangaja Cleopa Msuya na Ubang'i pia ina shule saba za msingi ambazo ni Mriti, Chimbi, Mcheni, Mangio, Vuchama, Managugu na Kiriveni.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Mwanga DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-27.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mwanga - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chomvu | Jipe | Kifula | Kighare | Kigonigoni | Kileo | Kilomeni | Kirongwe | Kirya | Kivisini | Kwakoa | Lang'ata | Lembeni | Mgagao | Msangeni | Mwanga | Mwaniko | Ngujini | Shighatini | Toloha

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mwaniko (Mwanga) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.