Wilaya ya Mwanga

Wilaya ya Mwanga ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 131,442. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 148,763 [1].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Taarifa juu ya "Declining coffee economy and low population growth in Mwanga district, Tanzania" Archived 4 Machi 2016 at the Wayback Machine.
![]() |
Kata za Wilaya ya Mwanga - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Chomvu | Jipe | Kifula | Kighare | Kigonigoni | Kileo | Kilomeni | Kirongwe | Kirya | Kivisini | Kwakoa | Lang'ata | Lembeni | Mgagao | Msangeni | Mwanga | Mwaniko | Ngujini | Shighatini | Toloha |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mwanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|