Wilaya ya Rombo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Rombo (kijani) katika mkoa wa Kilimanjaro.
Hoteli katikati ya mji wa Rombo mwaka 2006

Rombo ni miongoni mwa wilaya saba za mkoa wa Kilimanjaro upande wa mashariki ya mlima. Makao makuu ya wilaya hiyo anapatikana katika mji mdogo wa Mkuu uliopo kwenye kata ya Kelamfua Mokala. Wenyeji ni hasa Warombo walio sehemu ya Wachagga.

Wilaya imepakana na Kenya upande wa kaskazini na mashariki, wilaya ya Hai upande wa magharibi na wilaya ya Moshi vijijini upande wa Kusini.

Idadi ya wakazi ni 260,963 (sensa ya 2012). [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Rombo DC[dead link]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Rombo - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Aleni | Chala | Holili | Katangara/Mrere | Kelamfua/Mokala | Kingachi | Kirongo Samanga | Kirwa Keni | Kisale Msaranga | Kitirima | Mahida | Makiidi | Mamsera | Manda | Marangu Kitowo | Mengeni | Mengwe | Motamburu Kitendeni | Mrao Keryo | Nanjara | Ngoyoni | Olele | Reha | Shimbi Kwendele | Shimbi | Tarakea Motamburu | Ubetu Kahe | Ushiri Ikuini


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Rombo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.