Wilaya ya Siha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wilaya ya Siha ni wilaya moja ya Mkoa wa Kilimanjaro yenye msimbo wa posta 25400[1]. Wilaya hii ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na maeneo ya wilaya ya Hai.

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Siha - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Biriri | Gararagua | Karansi | Kashashi | Livishi | Makiwaru | Naeny | Nasai | Ndumeti | Ngarenairobi | Olkolili | Sanya Juu


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Siha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode