Kiazi
Mandhari

Kiazi ni sehemu ya mzizi wa mmea ambayo imekua nene na inahifadhi chakula cha mmea. Mifano ni kiazi kitamu, kiazi kikuu, kiazi cha kizungu na karoti.
Picha
[hariri | hariri chanzo]- Viazi vya kizungu
- Viazi vitamu
- Viazi vikuu
- Karoti