Karoti
Mandhari
Karoti (kutoka neno la Kigiriki "karoton" kupitia Kiingereza "carrot") ni mzizi wa mkaroti (jina la kisayansi: Daucus carota) ulio na wingi wa vitamini A.
Inatumika kama mboga na kama dawa, iwe imepikwa au mbichi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Blanchan, Neltje (2005). Wild Flowers Worth Knowing. Project Gutenberg Literary Archive Foundation.
- Bradeen, James M.; Simon, Philipp W. (2007). "Carrot". Katika Cole, Chittaranjan (mhr.). Vegetables. Genome Mapping and Molecular Breeding in Plants. Juz. la 5. New York, New York: Springer. ku. 162–184. ISBN 978-3-540-34535-0.
- Clapham, A. R.; Tutin, T. G.; Warburg, E. F. (1962). Flora of the British Isles. Cambridge University Press.
- Mabey, Richard (1997). Flora Britannica. London: Chatto and Windus.
- Rose, Francis (2006). The Wild Flower Key (edition revised and expanded by Clare O'Reilly). London: Frederick Warne. ISBN 0-7232-5175-4.
- Rubatsky, V.E.; Quiros, C.F.; Siman, P.W. (1999). Carrots and Related Vegetable Umbelliferae. CABI Publishing. ISBN 978-0-85199-129-0.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Connecticut Botanical Society Ilihifadhiwa 28 Februari 2015 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karoti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |