Mmea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mimea

Mimea ni moja ya kundi la viumbe hai duniani ikijumuisha miti, maua, mitishamba,n.k. Kuna zaidi ya aina 300,000 ya mimea.

Sayansi inayochunguza mimea huitwa botania ni kitengo cha biolojia. Kwenye uainishaji wa kisayansi Mimea hujumlishwa katika himaya ya planta kwenye milki ya Eukaryota.

Kwa jumla mimea huwa na uwezo wa usanisinuru yaani hujilisha kwa msaada wa nuru.

Album[hariri | hariri chanzo]

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mmea kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.