Moshi Vijijini
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Moshi Vijijini)
Kwa maana tofauti ya jina hili angalia makala ya maana Moshi

Mahali pa Moshi Vijijini (kijani) katika mkoa wa Kilimanjaro.
Wilaya ya Moshi Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Kilimanjaro. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 466,737 [1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Moshi Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|