Mabogini
Mabogini ni kata ya Wilaya ya Moshi Vijijini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 28,992 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 25201
Usafiri wake huanzia katika soko la Mbuyuni kwa hiace au pikipiki. Mabogini inasifika kwa kulima mpunga unaolisha asilimia kubwa ya watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na mikoa jirani.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Moshi DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-28.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mabogini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|