Wilaya ya Mkalama
Mandhari
Wilaya ya Mkalama | |
Mahali pa Mkalama katika Tanzania |
|
Majiranukta: 4°18′21″S 34°41′41″E / 4.30583°S 34.69472°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Singida |
Wilaya | Wilaya ya Mkalama |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 188,733 |
Mkalama ni wilaya mpya kati ya 7 za mkoa wa Singida, nchini Tanzania ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.
Makao makuu ya wilaya yako Nduguti.
Msimbo wa posta ni 43500.
Wakati wa sensa ya mwaka 2012 wilaya hiyo ilikuwa na wakazi 188.733 [1] Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 255,514 [2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Mkalama - Mkoa wa Singida - Tanzania | ||
---|---|---|
Gumanga | Ibaga | Iguguno | Ilunda | Kikhonda | Kinampundu | Kinyangiri | Matongo | Miganga | Mpambala | Msingi | Mwanga | Mwangeza | Nduguti | Nkalakala | Nkinto | Tumuli |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mkalama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |