Miganga
Mandhari
Miganga ni kata ya Wilaya ya Mkalama katika Mkoa wa Singida, Tanzania.
Msimbo wa posta ni 43513.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 9,941 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8486 waishio humo.[2]
Wakazi kwa asilimia kubwa wanajihusisha na kilimo cha alizeti, vitunguu na mtama.
Kata hiyo ina shule moja ya sekondari na shule nne za msingi. Kuna zahanati moja, ipo kijiji cha Kinandili. Pia ina timu ya mpira wa miguu maarufu kama West City, makazi yake yapo kitongoji cha Mkese.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Mkalama - Mkoa wa Singida - Tanzania | ||
---|---|---|
Gumanga | Ibaga | Iguguno | Ilunda | Kikhonda | Kinampundu | Kinyangiri | Matongo | Miganga | Mpambala | Msingi | Mwanga | Mwangeza | Nduguti | Nkalakala | Nkinto | Tumuli |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Miganga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |