Kitunguu
Jump to navigation
Jump to search
Kitunguu (Allium cepa) | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Vitunguu vyekundu
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Kitunguu (Allium cepa) ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa kila mahali pa dunia. Spishi A. cepa haitokei porini. Spishi za pori yenye nasaba ya karibu sana ni A. vavilovii na A. asarense.
Picha[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitunguu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |