Nenda kwa yaliyomo

Lazaro wa Mnarani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lazaro wa Mnarani (Manisa, leo nchini Uturuki, 972/981 - Efeso, leo nchini Uturuki, 7 Novemba 1053) alikuwa mmonaki ambaye alipata umaarufu kwa kuishi miaka mingi juu ya minara mbalimbali akilemewa na minyororo na vyuma vingine na kuridhika na mkate na maji tu. Hivyo alijivutia waumini wengi hata akaanzisha monasteri tatu kwenye Mlima Galesios[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Greenfield, Richard P. H., mhr. (2000). The Life of Lazaros of Mt. Galesion: An Eleventh-Century Pillar Saint. Washington, DC: Dumbarton Oaks. ISBN 978-0-88402-272-5.
  • Schadler, Peter (2011). "Gregory the Cellarer". Katika Thomas, David; Mallett, Alex (whr.). Christian-Muslim Relations: A Bibliographical History, Volume 3 (1050-1200). Leiden and Boston: BRILL. ku. 160–164. ISBN 978-90-04-195158.
  • Vathi, Theodora (28 Novemba 2003). Λάζαρος ο Γαλησιώτης. Encyclopaedia of the Hellenic World, Asia Minor (kwa Greek). Foundation of the Hellenic World. Iliwekwa mnamo 31 Julai 2017.{{cite encyclopedia}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.