Geroni na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Geroni na wenzake wengi sana, wakiwemo Eujeni na Theodoto (walifariki Melitene, Armenia ya kale, leo nchini Uturuki, 303 hivi) walikuwa Wakristo wa Dola la Roma waliopata kuwa wafiadini chini ya kaisari Dioklesyano.[1]

Tangu kale wanaheshimiwa na Waarmenia, Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 7 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.