Nenda kwa yaliyomo

Erkolano wa Perugia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Erkolano alivyochorwa na Pietro Perugino.

Erkolano wa Perugia (alifariki Perugia, Umbria, 7 Novemba 547 BK) anakumbukwa kama mmonaki wa Kiaugustino, halafu askofu wa mji huo (Italia ya Kati) aliojaribu kuutetea dhidi ya wavamizi Wagoti lakini hatimaye alikatwa kichwa kwa amri ya Totila, mfalme wao [1].

Papa Gregori I aliandika habari za maisha na mauti yake[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Novemba[3]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93264
  2. "Gregory the Great, Dialogues (1911) Book 3. pp. 105-174". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-17. Iliwekwa mnamo 2007-04-13. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.