Nenda kwa yaliyomo

Felisi wa Toniza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Felisi wa Toniza (alifariki katika mji huo, leo La Calle nchini Tunisia, katika karne ya 3) alikuwa Mkristo wa Numidia aliyefia imani yake.

Inaonekana Agostino wa Hippo alikuwa anamuongelea yeye alipowaambia wasikilizaji: «Kweli alikuwa Mwenye Heri katika jina na katika taji aliyochukua: kwa kuwa aliungama imani katika Kristo akakusudiwa kuteswa, lakini kesho yake mwili wake ulikutwa gerezani hauna uhai»[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na wengineo kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.