Melani wa Rennes
Mandhari

Melani wa Rennes (456 hivi – 530 hivi) alikuwa askofu wa Rennes (Ufaransa) miaka 505 - 530.
Alishiriki mtaguso wa Orleans (511) akajenga kanisa kwa mikono yake na kukusanya wamonaki kumtumikia Mungu huko Plaz, kwenye mto Vilaine, ambapo alifariki [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
