Winoko
Mandhari

Winoko (kwa Kifaransa: Winoc, Winok, Pinnock; awali: Wynnocus, Winnocus, Uinnoc, Uinoc; Bretagne, leo nchini Ufaransa, 640 hivi - Wormhoudt, leo nchini Ufaransa, 6 Novemba 716) alikuwa mmonaki mwanafunzi wa Bertino wa Sithieu huko Therouanne kuanzia mwaka 690 hivi. Baadaye aliruhusiwa kuanzisha monasteri ambayo aliijenga kwa mikono yake akaiongoza kitakatifu na ndimo alimofariki.[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Office (orthodoxe) à Saint Winnoc, icône & Vita Ilihifadhiwa 5 Novemba 2005 kwenye Wayback Machine. (Kifaransa)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |