Kaliniko na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kaliniko na wenzake Imeri, Theodori, Stefano, Petro, Paulo, Theodori, Yohane, Yohane na mwingine asiyejulikana kwa jina (walifia dini karibu na Gaza, Palestina, 638) ni kundi la askari Wakristo waliouawa na Waislamu kwa ajili ya imani yao[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.