Nenda kwa yaliyomo

Émile Friant

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Friant alivyojichora mwenyewe

Émile Friant (16 Aprili, 1863 - 6 Novemba, 1932) alikuwa mchoraji kutoka Ufaransa. Pia alikuwa profesa wa sanaa katika Chuo cha Sanaa Nzuri (École des Beaux-Arts) mjini Paris. Yeye ilipatiwa tuzo la Medali ya Heshima (Légion d'honneur) na alikuwa ni mwanachama wa Taasisi ya Ufaransa (Institut de France).

Taswira ya Madame Coquelin
Siku Watakatifu wote
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Émile Friant kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: