Papa Benedikto I
Mandhari
Papa Benedikto I (jina la awali: Benedikto Bonosio) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Juni 575 hadi kifo chake tarehe 30 Julai 579[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Alimfuata Papa Yohane III akafuatwa na Papa Pelagio II.
Ndiye aliyemtoa monasterini na kumfanya shemasi yule atakayekuwa Papa Gregori I.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Kuhusu Papa Benedikto I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- [1] Ilihifadhiwa 18 Juni 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |