Papa Klementi III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Klementi III.

Papa Klementi III alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Desemba 1187 hadi kifo chake tarehe 27 Machi 1191.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Paulino Scolari.

Alimfuata Papa Gregori VIII akafuatwa na Papa Selestini III.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.