Papa Adrian V
(Elekezwa kutoka Papa Adriano V)
Papa Adrian V (takriban 1205 – 18 Agosti 1276) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Julai 1276 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ottobuono Fieschi.
Alimfuata Papa Inosenti V akafuatwa na Papa Yohane XXI.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |