Papa Sixtus II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Sisto II)
Jump to navigation Jump to search
Kuuawa kwa Papa Sixtus II na mashemasi wake 6.

Papa Sixtus II alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Agosti 257 hadi kifodini chake tarehe 6 Agosti 258[1]. Alitokea Ugiriki.

Alimfuata Papa Stefano I akafuatwa na Papa Dionysius.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini pamoja na mashemasi wake sita, wakiwemo Agapito na Felisisimi waliouawa siku hiyohiyo sehemu nyingine.

Sikukuu yake ni tarehe 7 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.