Papa Sixtus II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kuuawa kwa Papa Sixtus II na mashemasi wake 6.

Papa Sixtus II alikuwa papa kuanzia 30 Agosti 257 hadi kifodini chake tarehe 6 Agosti 258. Alimfuata Papa Stefano I akafuatwa na Papa Dionysius.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 7 Agosti.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.