7 Agosti
Jump to navigation
Jump to search
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Agosti ni siku ya 219 ya mwaka (ya 220 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 146.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1960 - Nchi ya Côte d'Ivoire inapata uhuru kutoka Ufaransa
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1533 - Valentin Weigel, mwanateolojia Mjerumani
- 1869 - Mtakatifu Yosefu Maria Gambaro, O.F.M., padre na mmisionari mfiadini nchini Uchina
- 1904 - Ralph Bunche, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1950
- 1947 - Sofia Rotaru, mwimbaji wa Urusi
- 1966 - Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia
- 1972 - Karen Disher, msanii wa kuchora kwa filamu kutoka Marekani
- 1984 - Yun Hyon-seok, mwandishi kutoka Korea Kusini
- 1986 - Nancy Sumari, mrembo wa Tanzania mwaka wa 2005
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 461 - Majorian, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 1547 - Mtakatifu Gaetano wa Thiene, padri mwanzilishi nchini Italia
- 1901 - Oreste Baratieri, jenerali wa Italia aliyeshindwa na Waethiopia katika mapigano ya Adowa (1896)
- 1941 - Rabindranath Tagore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1913
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya watakatifu Papa Sisto II na wenzake, wafiadini, na ya mtakatifu Gaetano wa Thiene, padri
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |