Nenda kwa yaliyomo

Valentin Weigel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zschopau, mji alipozaliwa Valentin Weigel

Valentin Weigel (7 Agosti 153310 Juni 1588) alikuwa mwanateolojia wa Kiprotestanti kutoka nchi ya Ujerumani. Jina lake pia liliandikwa Weichel. Alitunga maandiko mengi yaliyoathiriwa na uchaji wa kutafakari sana habari za Mungu.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Valentin Weigel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.