Majorian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaba inayoonyesha Kaizari Majorian

Julius Valerius Majorianus (Novemba 4207 Agosti, 461) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kuanzia Aprili 457 hadi 2 Agosti, 461 alipolazimishwa kujiuzulu, siku tano kabla ya kifo chake tu. Alimfuata Avitus.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Majorian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.