Kaisari Avitus
Mandhari
(Elekezwa kutoka Avitus)
Marcus Maecilius Flavius Eparchius Avitus (takriban 395 – 17 Oktoba, 456) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 9 Julai, 455 hadi kifo chake. Alimfuata Petronius Maximus.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaisari Avitus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |