Petronius Maximus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaba inayoonyesha Kaizari Petronius Maximus

Petronius Maximus (takriban 39622 Aprili, 455) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kwa wiki chache tu kuanzia 17 Machi, 455 hadi kifo chake. Alimfuata Valentinian III.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Petronius Maximus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.