Afra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Afra alivyochorwa na Master of Messkirch, c. 1535-1540.

Afra (Augsburg, Ujerumani, karne ya 3Augsburg, 304 hivi) alikuwa mwanamke wa ukoo bora kutoka Kupro ambaye, kisha kutumikia miungu ya kike na kuishi katika dhambi, aliongokea Ukristo na kwa ajili hiyo alichomwa moto katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1] akiwa hajabatizwa [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki tarehe 7 Agosti[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.