Yosefu Maria Gambaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Giuseppe Maria Gambaro (Galliate, Italia, 7 Agosti 1869 - 7 Julai 1900) alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo aliyefia dini China alipokuwa mmisionari).

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.

Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila mwaka tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 7 Julai[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yosefu Maria Gambaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.