Donati wa Besancon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Donati wa Besancon (590 hivi - 660 hivi) anakumbukwa kama askofu wa mji huo wa Ufaransa kuanzia mwaka 626. Kabla ya hapo alikuwa mmonaki Mkolumbani[1][2].

Baadaye alianzisha monasteri na kuzipa kanuni aliyotunga mwenyewe kwa kufuata mafundisho ya Benedikto wa Nursia, Kolumbani na Sesari wa Arles[3][4][5].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo XIII tarehe 24 Novemba 1900.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Agosti[6][7].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Jonas of Bobbio, Life of Columbanus, book I, ch. 14, ed. Bruno Krusch, Montumenta Germaniae Historica Scriptores Rerum Germanicarum in usum schoarum, vol. 37, Hannover/Leipzig: Hahn 1905, p. 175 Archived 25 Juni 2018 at the Wayback Machine., transl. by Alexander O'Hara and Ian Wood, Liverpool 2016 (Translated Texts for Historians). See also: Internet Medieval Sourcebook Archived 16 Januari 2017 at the Wayback Machine.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/33900
  3. For a detailed analysis of the text, see Albrecht Diem, 'New ideas expressed in old words: the Regula Donati on female monastic life and monastic spirituality', in: Viator 43:1 (2012), pp. 1-38.
  4. Zelzer, Michaela, ‘Die Regula Donati, der älteste Textzeuge der Regula Benedicti’, in: Regulae Benedicti Studia 16 (1987), pp. 23-36.
  5. "Munich, Bayerische Staatbibliothek Clm 28118, fol. 196-207". 
  6. Martyrologium Romanum
  7. "Ökumenisches Heiligenlexikon". 

Kanuni yake[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.