Sofia Rotaru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sofia Mihailovna Evdokimenko-Rotaru (amezaliwa tar. 7 Agosti 1947) ni mtunzi wa nyimbo, mwimbaji, mchezaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa muziki, mtayarishaji wa filamu, mfanya biashara na mtunzi wa vitabu wa Kirusi-Kiukraine. Anafahamika zaidi kwa jina la Sofia Rotaru. Sofia amewahi kutoa albamu kadhaa zilizoweza kumfanya kuwa maarufu. Albamu hizo ni kama vile Ballade About Violins, Lavender (Lavanda), na I Still Love You.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sofia Rotaru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.