Kanuni ya Kirumi
Mandhari
Kanuni ya Kirumi ni jina la tangu zamani la Sala ya Ekaristi I ya Misale ya Kanisa la Roma inayotumiwa na Wakatoliki karibu wote kuadhimisha Misa.
Kanuni hiyo imebaki karibu sawa tangu karne ya 7. Inaundwa na mshono wa sala fupifupi zinazotangulia na kufuata simulizi la Karamu ya mwisho.[1]
Mabadiliko ya mwisho yalifanywa na Papa Yohane XXIII[2] halafu hasa na Papa Paulo VI[3] Hata hivyo hati Summorum Pontificum ya Papa Benedikto XVI imeruhusu wanaopenda kutumia kanuni kama ilivyorekebishwa na Papa Yohane XXIII.[4]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Text of Vatican II Missale Romanum, third edition
- Official English translation of Vatican II Order of Mass, hosted by Universalis Publishing Ltd
- Official English translation of Vatican II Roman Canon arranged for printing as a booklet
- Black-and-white reproduction (rubrics appear in black) of the 1962 editio typica of the Missale Romanum. The canon begins at p. 299
- Benziger iuxta typicam printing of the 1962 Missale Romanum
- English translation of the 1962 Ritus servandus in celebratione Missae Archived 12 Aprili 2008 at the Wayback Machine.
- Adrian Fortescue: Canon of the Mass (1908)
- Adrian Fortescue: Liturgy of the Mass (1910)
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanuni ya Kirumi kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |