Misa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Misa ya Kikatoliki huko Himo, mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania, mwaka 2012; katika mapokeo ya Roma, kitabu cha Injili hutiliwa ubani kabla ya kusomwa.
Umati wa watu milioni 6 wakishiriki Misa iliyongozwa na Papa Fransisko huko Rizal Park, Manila, Ufilipino, tarehe 18 Januari 2015.

Misa ni adhimisho la ekaristi hasa likifuata mapokeo ya Kiroma.

Mbali ya ibada za mwanzo na mwisho, sehemu kuu ni mbili: Liturujia ya Neno na Liturujia ya Ekaristi. Ya kwanza inafanyika hasa mimbarini, ya pili altareni. Ndizo meza mbili ambapo Mungu Baba analisha wanae.

Jina[hariri | hariri chanzo]

Jina linatokana na maneno ya mwisho ya ibada hiyo ambayo shemasi anaruhusu waamini kuondoka kisha kubarikiwa na askofu au padri aliyeongoza misa hiyo: Ite, Misa est (kwa Kilatini: "Nendeni, Misa imekwisha", au "Nendeni, sasa mnatumwa").

Wengi wanahusisha neno hilo na lile la Kilatini missio, kwa maana ya utume: kwamba aliyeshiriki ibada, mwishoni anatumwa kuwashirikisha wengine matunda yake, hasa amani ya Yesu Kristo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

THE GENERAL INSTRUCTION OF THE ROMAN MISSAL. Canadian Conference of Catholic Bishops Publication Service. ISBN 978-0-88997-655-9. Retrieved on 19 Novemba 2011. 

  • Baldovin,SJ, John F., (2008). Reforming the Liturgy: A Response to the Critics. The Liturgical Press.
  • Bugnini, Annibale (Archbishop), (1990). The Reform of the Liturgy 1948-1975. The Liturgical Press.
  • Donghi, Antonio, (2009). Words and Gestures in the Liturgy. The Liturgical Press.
  • Foley, Edward. From Age to Age: How Christians Have Celebrated the Eucharist, Revised and Expanded Edition. The Liturgical Press.
  • Fr. Nikolaus Gihr (1902). The Holy Sacrifice of the Mass: Dogmatically, Liturgically, and Ascetically Explained. St. Louis: Freiburg im Breisgau. OCLC 262469879. Retrieved on 2011-04-20. 
  • Johnson, Lawrence J., (2009). Worship in the Early Church: An Anthology of Historical Sources. The Liturgical Press.
  • Marini, Piero (Archbishop), (2007). A Challenging Reform: Realizing the Vision of the Liturgical Renewal. The Liturgical Press.
  • Martimort, A.G. (editor). The Church At Prayer. The Liturgical Press.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Mafundisho ya Kanisa Katoliki

Ibada ya Kiroma ilivyo leo kwa kawaida

Ibada ya Kiroma ilivyokuwa na inavyoweza kuadhimshwa leo nje ya kawaida

Mafundisho na taratibu vya Ushirika wa Anglikana

Mafundisho ya Kilutheri