Chemchemi
Mandhari
Chemchemi ni mahali ambapo maji yanatoka ardhini[1].
Mara nyingi chemchemi huwa Chanzo cha mto ambao hutiririsha maji yake mpaka baharini au ziwani kama mto ni mkubwa, au ndani ya mto mwingine kama mto ni mdogo[2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chemchemi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |