Ukumbusho
Ukumbusho ni jambo, jengo au tendo lililokusudiwa kufanya watu wakumbuke mtu au tukio.
La kawaida zaidi ni jiwe au msalaba kaburini ambapo limeandikwa jina la marehemu aliyezikwa kaburini mle, mara nyingi likiwa pamoja na tarehe ya kuzaliwa na kufa kwake.
Pengine wafiwa wanaunda mfuko maalumu wenye jina la marehemu ambao usaidie watu wenye shida, kwa mfano wanafunzi wasiojiweza.
Picha za maziara maarufu[hariri | hariri chanzo]
-
Ukumbusho wa waliokufa katika ajali ya ndege, Białystok, Poland
-
Ukumbusho wa wahanga wa Holodomor, South Bound Brook, New Jersey
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ukumbusho kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |