Kolkata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sehemu za Mji wa Kolkata.
Kolkata

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Uhindi" does not exist.Mahali pa mji wa Kolkata katika Uhindi

Majiranukta: 22°34′22″N 88°21′50″E / 22.57278°N 88.36389°E / 22.57278; 88.36389
Nchi Uhindi

Kolkata (pia: Kalkutta; kwa Kibengali: কলকাতা Kalkāṭa) ni jiji kubwa katika mashariki ya Uhindi na mji mkuu wa jimbo la Bengali ya Magharibi.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mji huo ulikuwa mji mkuu wa Uhindi wa Kiingereza hadi mwaka 1911. Baada ya ugawaji wa Uhindi hali yake ilirudi nyuma kwa sababu ya ugawaji wa Bengali kwa jumla.

Baadaye jina limekuwa mashuhuri tena kimataifa kutokana na kazi ya Mama Teresa aliyeishi huko miaka mingi.

Indie 2006.png Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kolkata kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.