Nenda kwa yaliyomo

Shukrani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Moyo wa shukrani katika Palácio Nacional da Ajuda.

Shukrani (pia: shukurani; kutoka neno la Kiarabu) ni tendo la kukubali zawadi, hisani au fadhili yoyote kutoka kwa mwingine.

Moyo wa shukrani ni sifa mojawapo muhimu katika mafungamano ya watu na imezingatiwa na fasihi na dini mbalimbali hata upande wa Mungu[1]. Wanaofuata dini wanaelekea kuwa na shukrani zaidi katika maisha yao yote[2][3].

Kinyume chake utovu wa shukrani ni jambo linalovuruga sana mahusiano katika jamii, kuanzia ndani ya familia, na imezingatiwa na elimunafsia katika kuchunguza chanzo chake, kwa kuwa inamzuia mtu kufaidika na moyo huo [4].

  1. Emmons, Robert A.; Crumpler, Cheryl A. (2000). "Gratitude as a Human Strength: Appraising the Evidence". Journal of Social and Clinical Psychology. 19 (1): 56–69. doi:10.1521/jscp.2000.19.1.56.
  2. McCullough, M.E.; Emmons, R.A.; Tsang, J. (2002). "The grateful disposition: A conceptual and empirical topography". Journal of Personality and Social Psychology. 83 (1): 112–127. doi:10.1037/0022-3514.82.1.112. PMID 11811629.
  3. Emmons, Robert A.; McCullough, Michael E. "Highlights from the Research Project on Gratitude and Thankfulness". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Agosti 2010. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Kigezo:Multiref2
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shukrani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.