Machozi
Mandhari
Machozi | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Lady Jay Dee | |||||
Imetolewa | 2000 | ||||
Imerekodiwa | 2000 | ||||
Aina | Bongo Flava, R&B | ||||
Lebo | MJ Records | ||||
Mtayarishaji | Master Jay | ||||
Wendo wa albamu za Lady Jay Dee | |||||
|
Machozi ni jina la albamu ya kwanza ya mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Lady Jay Dee. Albamu imetoka mwaka wa 2000. Albamu imetayarishwa katika studio za Master Jay, jijini Dar es Salaam. Hii ni albamu ya kwanza ya muziki wa kizazi kipya kwa kutumia gharama kubwa sana katika utayarishaji kuliko albamu zote zilizotoka mwanzoni mwa miaka ya 2000. Wakati ndio hasa Smooth Vibe Project ilikuwa inasimamia kazi za wasanii wengi wa Tanzania.[1]
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- Machozi (remix)
- Nalia
- Penzi la milele
- Pumziko
- Waweza kwenda (Rajabu's mix)
- Nakupenda
- Nimekubali (akiwa na Ray C)
- Matatizo
- Tatiza
- Shida
- Umuhimu wako
- Waweza kwenda (JM mix)